Ball Jointi na Tire Rod Ends
Hivi ni viungo muhimu sana na vinapatikana katika magari mengi. Ni beringi za uviringo, na zinafanya kazi kama ilivyo katika muunganiko wa mwisho wa goti la binadamu. Zinafanya kazi muhimu sana ya kuunganisha ustelingi wa gari na mikono ya matairi ya gari. Zote kwa pamoja zinaathiri uwezo wako wa kuamua gari liende uelekeo gani. Kwa ufupi, hizi zikivunjika, basi unakuwa huwezi kuliongoza gari na linaweza kwenda uelekeo wowote. Hivyo ni muhimu sana kuzibadilisha mapema, hasa kabla msimu wa mvua haujaanza. Wataalam wanashauri kuwa, kusikiliza dalili za mapema za kuchoka kwa Ball Jointi na ‘Tire rod ends’ kama vile: