Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
nipo fiti kama alexander arnold
mashabiki wa liverpool wawe na heshima kwa mashetani wekundu.Ka handsome haka
Kwa mujibu wa rafiki yake caro aliumwa kwa kipindi kirefu hivyo kuna uwezekano mkubwa alinyoa kuepuka usumbufu wa kusukamarehemu carlo alizikwa na nywele zake?
ngoja basi nikaisome iyo hadithi ili niepushe kukuuliza maswali ya mara kwa mara kama tupo mahakamaniKwa mujibu wa rafiki yake caro aliumwa kwa kipindi kirefu hivyo kuna uwezekano mkubwa alinyoa kuepuka usumbufu wa kusuka
Hakika.Sijui ni kwanini nimefungua huo uzi?.
BTW ujunbe mzuri, bahati ni vile walipata nafasi ya kusali pamoja kabla kuachana
Naomba rehema na neema kama hiyo pia kwangu siku moja.
[emoji120][emoji120]
mkuu inakuwaje jamii ya wanawake kutoka china, japan, korea hata kama itatokezea wamezaa watoto watano mfululizo kama mimba ya paka lakini bado unakuta matiti yao yamebaki vile vile kama wasichana?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa umri wake atawapata akiamua kuwekeza kwenye uzazi... Yaani akiachana na ile kauli ya "mai miliki izi sitendi"
Unaogopa kifo bro?Sijui ni kwanini nimefungua huo uzi?.
BTW ujunbe mzuri, bahati ni vile walipata nafasi ya kusali pamoja kabla kuachana
Naomba rehema na neema kama hiyo pia kwangu siku moja.
[emoji120][emoji120]
Hakuna cha kuogopa wala nini. Tuanze kuwa kama wazungu. Tuchague mahali pa kuzikwa. Tuandae kila kitu. Tuandike wosia na kuwaaga wanetu mmoja mmoja kwa upekee wao. Tugawanye mali zetu tukiwa bado hai...na kama unavyosemaga, tujitahidi kuwa binadamu wema na kujikabidhi kwa Muumba wetu. Siku ikifika tunaondoka kwa amani kabisa bila woga.Hakika.
Hasa kama utaagana na umpendaye,baba,mama,mke,mme,watoto au rafiki wa karibu...
Naogopa, naacha kujadili, nina watoto wadogo sana, ni rafiki zangu wa karibu, najua nitaachana nao siku ikifika,ila nianze mimi.
Hebu tuyaache [emoji120][emoji120]