Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukifuatilia maelezo yake ametumia sana neno "safari hii siponi"
Ni kweli ameenda kwa amani sana, aliweza kumuandaa mama yake kisaikolojia. Mama hawezi kuumia sana kwa sababu atakuwa anairudia rudia ile sala(hata mimi ilinisaidia)ya mwisho.
Ila Mungu aepushie mbali, siku ambayo mama atashituka kibinaadamu kuwa mwanae amekufa kweli, Mungu aepushie mbali... Mdogo wangu alikufa kwa kuhamaki baada ya miaka minne kupita, akajisemea "nimekumbuka kumuogesha mama" .... Alivyo lala hakuamka...
 
Du
 
Caro katukumbusha mambo mengi sana leo. Ahsante kwa hii ibada mkuu [emoji120][emoji120]
 
Haya mambo ni magumu sana. Mdogo wako masikini alikuwa na maumivu makali. Kawaida yetu wanaume kutolia na kuugua ndani kwa ndani. Pole sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…