mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Kenti bilivu this...
Unapata wapi hata muda wa kujiuliza swali kama hili wakati qualifications zangu na weledi wangu kuhusu mada hii unaujua? Mpaka na course uzipendazo za Aviation na Economics nimeziongeza bure? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Tena sana mamiiSana ni kuwa makini tu
Kwema TH mambo niajeMzee wa liver, kwemaa
Waleku msalamAsalam alakum
HahahahaAisee itokee boya mmoja ajichanganye siku moja aweke picha yako humu sis. Naua mtu siku hiyo indeed wallahi mane lavusi mi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji123][emoji123][emoji123]
Umeongea kwa hisia sana Shimba, Tunajitahidi sana kuwa waangalifu juu ya hili jambo.! Ni aibu kwakweli yakikukutaKuweni waangalifu sana hasa kwenu mabinti tuliowazoea humu. Mshakuwa kama ndugu na binafsi nitaumia sana siku nikiona mmoja wenu kadhalilishwa. Najua mngali bado maandaeitini na mahomoni yakianza kuwakukuruka mishipani humo mnapoteza fokasi. Please be careful. Siyo hapa tu bali hata huko FB, IG, Twitter na kwingineko. Ni hatari...
Angalia mwenye twins tayariNishapata walimu wawili mpaka sasa....nani atakuwa mwalimu wangu wa twisheni ?[emoji38][emoji38][emoji38]
Yu a re gudi styudenti...[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ticha ai emu sorri, sirudii[emoji16]
Hahahaha hapana mbona nimewahiToo late. Syllabus anayo, textbook na makorokocho mengine tayari keshanunua. Darasa linaanza immediately na linafundishwa kisasa. Ushachelewa [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahaKenti bilivu this...
Unapata wapi hata muda wa kujiuliza swali kama hili wakati qualifications zangu na weledi wangu kuhusu mada hii unaujua? Mpaka na course uzipendazo za Aviation na Economics nimeziongeza bure? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nina pea tatu tayari...Angalia mwenye twins tayari