Fuatilia Hili Mkiwa Wawili na Kwa Ukarimu
Mfanyakazi mwenzako anaweza kuchukua sifa za kazi zako bila kudhamiria. Hivyo badala ya kumtuhumu moja kwa moja, fanya madai yako kwa kama maswali. Kwa mfano, unaweza kumuuliza swali kama “Vipi, umeweza kuelezea pointi zote kama tulivyojadili mwanzoni? Mbona nilisikia unatumia ‘Nili.., Nime..’ nadala ya ‘Tuli.., Tume…, wakati tumefanya kazi watu wawili? Ulifanyahivyo kwa makusudi? Hii itasaidia kumpa mfanyakazi mwenzako fursa ya kutambua kosa lake, ikiwaalifanya hivyo bila kutambua. Mkimaliza, malizeni tofauti zenu na mweleze kuwa hakuna hisia mbaya kati yeni. Endeleeni kupiga kazi.