andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Wewe ndiye binti yangu machachari?!!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
The Magufulification of the ole USA...Huyu Dorian ameleta zahama huko Bahamas. Huku kwetu shwari kabisa, BBQ kwa kwenda mbele. Jamaa wa jumba jeupe asivyojua mambo akawatishia mpaka watu wa Alabama eti itawakumba, National Weather Center wakakanusha; wakawaambia watu wa Alabama kuwa hiyo kitu iko mbali huko, Far East. Sasa sijui yule mkubwa alichanganya Alabama na Bahamas. [emoji16][emoji16][emoji16]... Yule jamaa bomu sana aisee!
Urembo na shepu pia vina sehemu yake kamanda ohooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji120][emoji120]View attachment 1196224
Ukibahatisha kakimbaumbau kenye gubu na kisirani ndo utaifaudu ndoa aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Natumaini mko vizur
[emoji2956]
Atakuwa anakaribia miaka 100 huyu Mtukufu. Mungu Aendelee kumbariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ankoo hiyo shikamoo achana nayo, kwanini hicho kigauni kisipande kidogo tupate kuzuumu kama yaliyomo yamoo?
#kwamachonayonitiba