Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
AiseeKila nikiikumbuka kauli ya mwisho ya baba yangu kabla ya uhai kumtoka nazidi kuumia. Ninaumia kwa kuwa niliipuuzia kauli ile labda huwenda ningeizingatia leo hii nisingekuwa hapa kwenye hili jumba kubwa linalotoa harufu iliyochanganyikana na madawa mbali mbali, pembeni kwangu ukiwepo mwili wa mtu usioweza kuongea wala kusimama huku pua yake ikiwa imechoka kuvuta hewa.
oraenmaneiyo sunbaenimLABDA UYO MANZI AWE MREMBO KULIKO KHANTWE AHJUMMA FROM KOLOMIJEE
😂😂😂dah!Murder- Haya ni mauaji ya kijinga jinga tu. Mtu anapiga mkewe hadi anaua. Ubakaji then anakuua. Mimi nikija kwako, kama hutaki kunilipa, nikakupa rungu moja la kichwa na kusepa zangu, nakuwa nimefanya nimekumurder.
Mara nyingi hufanywa na watu wenye mtindio wa ubongo, vichaa, wenye stress japo si mara zote kuwa ni watu hawa ndo wanafanya.