Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kikombe kinaandaliwa au ndo nishadandia train kwa mbele..[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Udandiaji wa treni za mizigo niachie miye kamanda. Sidhani kama una uzoefu huo na maisha ya kuwa kwenye iginoa list sidhani kama unayaweza [emoji16][emoji16][emoji16]

Kama sikosei hayo ni maji yanatoka kwenye bomba. Ni huko Mtwara na tayari wahusika wamekuja kujitetea kuwa kuna bomba limepasuka na chujio mojawapo halifanyi kazi.
 
Vipi msimu wa vimbunga huko
Ndiyo majira yake. Kimoja kwa jina Dorian kimeacha balaa huko visiwani Bahama na sasa kipo huko kinasalimiana na watu wa South Carolina na Virginia huko. Pamoja na matekinolojia yetu, kama binadamu bado maza necha anatutawala....na tunaendelea kumkorofisha na uharibifu wetu wa mazingira
 
[emoji1787][emoji1787] hali yako Kamanda
Niko safi kamanda. Actually niko hapa nafanya annual physical yangu. Huko kwako vipi? Lini ulifanya physical yako? Unajua kiasi chako cha lehemu, sukari, chumvi, mgandamizo wa damu, utendakazi wa figo, ini, moyo, tezi dume na mengineyo?

Hili swali linawahusu wanaume wote hapa. Huwa hatupendi kufanya uchunguzi wa afya zetu mpaka tukiwa hoi. Tubadilike !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…