Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu acha utani. Mara yangu ya kwanza kabisa kupanda ndege Mwanakoromije nilipanda kwenda Boston. Sikujua kumbe ilikuwa ni wakati wa baridi. Kudadadeki kidogo nigeuze. Barafu inaanguka 7 days non stop yaani ukitoka nje hewa baridi inakuchoma mpaka mapafu. Sitasahau!Wadau usiku mwema baridi ya huku si mchezo
Lala salama Carpa...Usiku mwema wapendwa
Ni wimbo wala si maneno yangu[emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji54][emoji54]
Andjul unaonaje ukilala tu?Ni wimbo wala si maneno yangu
Nothing serious mkuu katika uzi huu. Ni utani tu na hili nimekuwa nikilisema mara nyingi. Na ikitokea tukakwazana tunasemeshana tunasameheana na tunasonga mbele. Ndiyo maana hata ile kasheshe ya leo ya 100K ilipoisha kwa amani kila mtu alifurahi. Good night!Hahahahaahhaha. Nashukuru sana kwa kujaa upepo hadi kufunga pm kwa kutishia kuchoma nyumba kwa kumwagia maji ya moto.
Pamoja sana SHIMBA YA BUYENZE na jakitoo nice couple [emoji122] [emoji122] [emoji122]
carbamazepine nitarudi mida nashukuru kwa kuwa pamoja.
SawaMsalimie huko alipo
Ni wimbo naimbaImagine Babe S. Huyu naye eti ni mume wa mtu na hapa anatongoza mchepuko. Can you believe that?
[emoji173][emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hahaha next time tinga suit mkuuNipo na mkuu Quigley A town baridi balaaa
Tumezoea kukuona ukiimba mapambio ndo maana!Ni wimbo naimba
Karibu mkuuUmeenda kwenye ile shughuli kujifunza funza live? Safi sana. Na mimi karibu nitapita mitaa hiyo kumwona mtaalamu QUIGLEY. Na hii ndiyo faida ya hii mitandao...
Ooooh mamii, kumbe wewe unaimba vizuri vile?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ikoje hiyo?Kuna video nimeiona ukurasa wa jf wamei upload...ndo yeye muhusika wa ile kitu?
KaribuNimerudi ndugu zangu
DadanguShimba wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndio hivyo so kukuita mkwilima ni vibaya???Alishaniambia ni Msukuma kwa jina tu lakini kukiongea hawezi. Ni kawaida kwa kizazi kipya na hii ina-create crisis of identity.