Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Fundi Maiko bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku hizi mwanamke wa kweli (kwa muktadha huu) utampata wapi?[emoji120][emoji120]View attachment 1201425
Wisdom tooth...lilipaswa kung'olewa tangu zamani hilo...Liwaishe kwa dentist ili kama linafaa kujazia wajazie.Wakati mwingine ukichelewa wanasema halifai kujazia tena na ni lazima waling'oe.
[emoji120][emoji120]
[emoji818][emoji818][emoji818]Ukiwaza kwa kufuata kanuni ya nguvu ya uvutano (ambayo ni kuwaza na kuamini kama kile unachokiwaza tayari umeshakipata bila hata kujua umekipataje) utaishi kama ulivyowaza.
Ukiwaza kuwa jambazi utakuwa jambazi hakika, ukiwaza kupona ugonjwa unaokusumbua utapona hakika, na ukiwaza kuwa tajiri utakuwa tajiri hakika. Mafanikio hayo yanaweza kuchukua mwezi mmoja kutimia au yanaweza kuchukua miaka kumi. Unachotakiwa kufanya ni kuwaza na kuamini.
Bora hata ingekuwa mimi [emoji3][emoji3]Isije ikawa ni wewe sis [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Shigongo apitie uzi huu. Kuna watu wana vipaji sana...JF ingekuwa gazeti la udaku.
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k Vichwa vitasomeka hivi. 1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini 2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya wanawake wa JF (7800). 3. 7800 yazua kizaa zaa. 4. Wanaume wa JF wakesha kuomba kama Paulo...www.jamiiforums.com
Hakuna baharia wa Kisukuma wewee...Baharia wakisukumaView attachment 1201622
hapo bado sijaweka habari ya zile nyanda zetu bro.Shigongo apitie uzi huu. Kuna watu wana vipaji sana...
Hata kama hayaumi bro?Wisdom tooth...lilipaswa kung'olewa tangu zamani hilo...