Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Me nimelitoa mwezi uliopita, jamani lilinipeleka vibaya [emoji23]
Sasa ndio INA maana nitakuwa sitafunii upande huo au ni vipi?
Wisdom teeth huwa ni magego ya mwisho kabisa yamebanana na nyama nyama za ufizi. Kwa vile yako nyuma sana hata hayahusiki sana na utafunaji wa chakula. Na kwa wengine huwa hayaoti; na hakuna madhara yo yote.

Wewe utakuwa ama umeng'oa gego la kawaida au kama ni wisdom tooth basi halikung'olewa vizuri...Pole !!!
 
Ndiyo. Huko kwa wenzetu wana mtindo wa kuyang'oa hata kama hayaumi. Hayana faida sana na yana uwezekano mkubwa wa kuleta matatizo makubwa huko mbeleni...
Unajua kuna kipindi ilikua kila nikikaribia mtihani fizi zinauma na kuvimba usawa wa magego, ikabidi nimwone dentist.Alichonishauri ni kung'oa magego yote manne kwasababu hayajaota vizuri, ikabidi nimwambie nitarudi ila sikurudi tena.

#umenifafanuliaJambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…