Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
hii thread haijfungwa tu?
Kwanini ifungwe?hii thread haijfungwa tu?
kwani hamjatosheka na hizo likes?Kwanini ifungwe?
Jana nililala mapema kidogo...Bro za habari usiku
Wewe ni mchokozi.hii thread haijfungwa tu?
hahahahahahahaWe're talking with experienceππ
hahahahahahaha, mpendwa bana.Binafsi maumivu ya mapenzi huwa nayapoza huwa najiuliza kwani yeye nani niumie kiasi hiki yaani dakika nasahau,jino habari nyingine πππ
Sijango'a bado natumia dawa zaidi ya tatu,jino limenipotezea toka Jana. Mpendwa naona unajitetea leo nachomoa betri nina uzi wako haiwezekani nitoke Vingunguti kiembe mbuzi kukufata Mbagara unikaushieππππ picha kama zote naweka kwenye uzi leo.hahahahahahaha, mpendwa bana.
Vipi maendeleo lkn?Jana nimekuja halafu hupokei simu.Ni woga wa kung'olewa au?
Sasa siungepokea simu yangu uniambie ulipo.Ungejua ulivyonichomesha mahindi wala usingewaza kuchomoa betri.Sijango'a bado natumia dawa zaidi ya tatu,jino limenipotezea toka Jana. Mpendwa naona unajitetea leo nachomoa betri nina uzi wako haiwezekani nitoke Vingunguti kiembe mbuzi kukufata Mbagara unikaushieππππ picha kama zote naweka kwenye uzi leo.
Asante nduguSasa siungepokea simu yangu uniambie ulipo.Ungejua ulivyonichomesha mahindi wala usingewaza kuchomoa betri.
#ChomoeBetriNitupeKipisiChaFegiChiniTulipukeWote
#hayaUguaPoleDada
Baharia ni nani?
Mbona hili neno linatumika sana saivi.
#AchanaNaBahariaMfanyakaziWaMeli