mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,587
- 3,886
Namaanisha mwenye hii jamiiforum, au haina mtu?Blog gani? Wewe gonga likes tu twende sawa mengine yote madogo [emoji16][emoji16]
Nitashukuru sana. Unaiandika katika Kiingereza au Kiswahili?Nitakujulisha nikimaliza. Ni riwaya
Nifafanue kipi hapo usichoelewa? Main road zina foleni.Una maanisha nini? Kwenye njia kuu kuna foleni? Fafanua
Uliposema blog ulinichanganya. Yupo...Namaanisha mwenye hii jamiiforum, au haina mtu?
Katika muktadha huo nimekuelewa, japo kiuhalisia haiko hivyo.Nifafanue kipi hapo usichoelewa? Main road zina foleni.
Huonagi baadhi ya gari za kawe,makumbusho nk zikifika taifa pale hazipiti uhasibu sababu ya kukwepa foleni?
HahahaKiTrump kilinishinda kwa sababu sijui jinsi ya kutumia alama za kufungua na kufunga semi kama yule braza aliyeshusha nondo za kufa mtu mpaka tukachanganyikiwa. Ila mlitoa sapoti ya kutosha kwa kweli kumsaidia mwenzenu. Mngekuwa mnaonyesha ushirikiano wa aina hiyo hata kwenye mambo mengine ya muhimu zaidi mngefika mbali sana [emoji23]
Hahhaa eti I knock, you speak
Kuna imani kuwa eti huwa hampendani...Hahaha
Mambo mengine yapi? Ya huku uraiani ama.
Huku mbona support zipo tu
ukisikia utani wa ngumi ndio huo sasa..............Ona macho yake kama bundi. ππ ulishawai kutaniwa hivyo?
Inasemekana.Kuna imani kuwa eti huwa hampendani...
Kama yule mlikuwa mnamfariji. Mngemjua mlengwa si ajabu mngemzamia ili kutesti zali. Inatokeaga sana [emoji16][emoji16]Inasemekana.
Na inatokea pia
Utuwache [emoji36][emoji36][emoji36]