D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
😂😂😂😂 jamanina ndicho kilichomkuta demiss.
JF anaitamani lakini hakuna baharia atakayemtamani kupitia keyboard
😂😂Mabaharia ya humu yanajua kujivika mabomu, akirudi tuu wanaye
#ilahuu_ubuyunilipitwa
Aisee..Anayeujua mwili wako ni wewe mwenyewe lakini, amini kwamba vipo vitu vingi ambavyo huvifahamu kuhusu mwili wako ambao unafikiri una ufahamu vilivyo.
Duh!!Sasa kuna hii ambayo yawezekana hujawahi kuisikia, ambayo ni kwamba, masikio pia yana umbo la pekee tofauti kwa kila binadamu.
Kwann lakin?[emoji8][emoji8]
[emoji5][emoji23][emoji23]
G.O.A.T orijino huyu ndani ya jezi yoyote anafunga tuCristiano Ronaldo has now scored 93 international goals
He has now scored against 40 different nations.
⚽ Cristiano Ronaldo | 7'
⚽ Cristiano Ronaldo | 61'
⚽ Cristiano Ronaldo | 65'
⚽ Cristiano Ronaldo | 76'
happy birthday Numbisa
tunaomba cheti chako kabla team madevu ya osama bin laden hawajatoka msalani, tokea jana wanaharisha kama wino wa ngisi.
View attachment 1204207
Davet Cole Williams habari mnayo ndugu zanguCristiano Ronaldo has now scored 93 international goals
He has now scored against 40 different nations.
⚽ Cristiano Ronaldo | 7'
⚽ Cristiano Ronaldo | 61'
⚽ Cristiano Ronaldo | 65'
⚽ Cristiano Ronaldo | 76'
happy birthday Numbisa
tunaomba cheti chako kabla team madevu ya osama bin laden hawajatoka msalani, tokea jana wanaharisha kama wino wa ngisi.
View attachment 1204207
Salama TH... u mzima?[emoji5]
Depal hali yako..?
[emoji848][emoji848][emoji848]Siku volkano ilipoanza kulipuka hakukuwa na aliyebaki salama. Si waliokuwa sahihi wala walioita wenzao wehu. Wote waliangamia. Jamii ya Pompeii iliteketea kwa sababu haikuheshimu misingi ya maarifa kwa wenye kujua, badala yake iliendekeza hisia, tumbo na kujipendekeza kutatua matatizo yao, hivyo ilikumbwa na adhabu ya asili.!
Mzma kabisa, nategea muda wa lunch utukarbishe[emoji12]Salama TH... u mzima?
Kuna baharia mmoja mzee wa kashfa alijilipua na mapicha tele yakamwagwa nae akalipiza kwa kumwaga mapicha ya adui kisha akasahau aiseee hadi kaikimbia ID yake. Kajitahidi weee kuonyesha ungangari ila kashindwa,nowdays mpolemabaharia wengi akili zao zinafanana na kuku.
wazee wa kusahau matukio kwa sekunde moja
tokea jina wameshikwa na tumbo la kuharisha.Davet Cole Williams habari mnayo ndugu zangu