myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Moud; huyu mwanamieleka huyu vipi huyu? Hilo kofi mbona limekaa kiajabu ajabu? [emoji16][emoji16]
View attachment 1206426
Tumekula bakora zake sana kipindi ni cid maeneo fulani tukiwa tuna fanya biashara ya sukari/petrol kutoka upande wa pili. Hata hivyo ni kaka mwema sana katika maisha ya kawaida.
Mungu aendelee kumbariki na kumsimamia kwenye majukumu yake ya kila siku.
Ana walakini huyu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] kawaida hiyo
Ana walakini huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1206458
Huyo siyo rizki,