Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]hii kampeni ya kuvaa vipensi ina maana gani kwa mashabiki wa yanga?
au kuna daktari anakwenda kuwatahiri wenye magovi huko uwanjani?
ina maana kifo cha mugabe kinafanana na safari ya waisraili walipokimbia misri kwa miaka 40Mbwembwe za binadamu dah. Anyway RIP Jongwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1207267
Mbona kama ni kupingwa anapingwa sana tu? Mimi naamini hataweza kuondoa kipengele cha ukomo wa madaraka hata ajitahidi vipi. Not to that extent. Nevaaa !!!kuna watu wanadai jamaa hajui siasa, naishia kuwacheka kwa ujinga uliowajaa kichwani.
unafikiri nape atakuwa na uthubutu wa kumpinga tena mtakatifu haliyakuwa ameshajisalimisha kwake?
tumuombe jamaa asiwe na hamu ya kuongeza muda wa utawala ila hakuna mjinga wa kumzuia kama ataamua kufanya hivyo.
sababu ni ndogo tu:
amewafanya wajinga na werevu wa kitanzia waamini ya kwamba yeye pekee ndiye mpigania haki na usawa ndani ya taifa hili tokea aondoke nyerere na karume.
Lakini nini??
Kumbe we ndo Miss natafuta[emoji33]Lakini mimi sijasevu mtu anaetumia ttcl, na pia nachukia wanaume wasiojiamini....
Kwa hili nawapenda sana Waislamu. Unavuta leo unazikwa leo hii hii hakuna cha mbwembwe wala nini. Sasa maiti anasubiri mwezi mzima kaburi linaandaliwa halafu ndiyo azikwe duh !!!ina maana kifo cha mugabe kinafanana na safari ya waisraili walipokimbia misri kwa miaka 40
Aaa wapi. Unakuwa tu creative unabadili badili swaga, mwonekano na miondoko kwenye gemu; na sauti...Hagundui ng'o!!!
View attachment 1207214
aigoooooo Ewe mungu muweke mbali huyu mja na babu shimba huko uwanjani, nahofia babu atakutana na dhoruba kali sana itakayomfanya aisahau uwanjani tiketi ya kurudia usukumani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1207268
Kwema kaka naona unafanya mambo huko AnfieldAmin, salaam Daver
Kumbe we ndo Miss natafuta[emoji33]
Nakusubiria siku yako kwa hamu sana bro...Hongera sana Bro [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Mkuu umejisahau umetumia ID yako ya kiume.... Sasa mkuu why unajifanya miss kumbe ni dume...Lakini mimi sijasevu mtu anaetumia ttcl, na pia nachukia wanaume wasiojiamini....
karibu
shimba ameamka vibaya leo, anasema ana maziwa ya kutibu ugonjwa wa wasichana kuwa wembamba
Niko kwenye iginoa tayari sema labda kujiongezea muda tu [emoji16][emoji16]Ignore inakuhusu[emoji23][emoji23]
Mkuu umejisahau umetumia ID yako ya kiume.... Sasa mkuu why unajifanya miss kumbe ni dume...