D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
isijekuwa familia wanagombea mali ila wameamua kujificha kwenye mgogoro wa kutofautiana kifikra dhidi ya serikali.Kwa hili nawapenda sana Waislamu. Unavuta leo unazikwa leo hii hii hakuna cha mbwembwe wala nini. Sasa maiti anasubiri mwezi mzima kaburi linaandaliwa halafu ndiyo azikwe duh !!!
Bado muda kidogo mzee wa liver ataibuka na miK-Vant yake. Mara utasikia tu paap This is Liverpool and you will never walk alone the one and the only one Amun Ra [emoji16][emoji16][emoji16]Kwema kaka naona unafanya mambo huko Anfield
Sasa huwa unatafuta nini eti kila siku jomoniii😂😂😂Ndio...
Bro bro. Looooong time no see. Hawa yu? Mkatalunya Limjamaa umetafutwa kila kona. Welokamu bak [emoji870][emoji870][emoji870]
mbona iyo picha ina rangi wakati kikwete mwenyewe anaonekana kijana. au ni mwendo wa time travel?
Sasa huwa unatafuta nini eti kila siku jomoniii[emoji23][emoji23][emoji23]
Amen Bro. Uzima ndiyo jambo la msingi. Mungu Aendelee kutubariki bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kweli Bro, harakati Tu za hapa na pale, ni vyema kuwakuta mpo vizuri, hopefully all is well with You
Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Lol,.nlitaka nishangae wakati kuna mtu ana kiumbe chako tumboni..
Aseno hatuchezi. Hovyooo !!!
Poor Sonny Liston....
Mkuu umejisahau umetumia ID yako ya kiume.... Sasa mkuu why unajifanya miss kumbe ni dume...