Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona kama ni kupingwa anapingwa sana tu? Mimi naamini hataweza kuondoa kipengele cha ukomo wa madaraka hata ajitahidi vipi. Not to that extent. Nevaaa !!!
upinzani wa kweli utapaswa utoke ndani ya chama chake kupitia kwa wabunge na kwa hali ya siasa ilivyo jamaa na crew yake watatumia nguvu kubwa sana kubeba viti vingi vya ubunge zanzibar uchaguzi ujao.

huko bara kuna watu watapigwa mpaka wachakae ili mradi CCM wabebe majimbo mengine zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…