moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapo umenena wanawake tumeumbwa kutii na si kupenda sijui lin nitaelewa hili somo doh.Mind you a woman was never created to love but rather to be submissive towards one and only man ie your husband
Basi leo hakutakalika humu. You will never walk alone zitatumaliza leo dah !!!Liverpool 3 Newcastle United 1
ilikuwa nyakati za JK.Jizazi...
Kwa nini alisema hivyo huyo muhuni?
Kwa Tanzania hii hii inayozidi kung'ara na kupendeza kila siku au Tanzania nyingine?
Huyu naye ni baharia? Baharia gani analilia simu?
Because naturally in a woman's bank of attributes there is nothing like a love to a man.Why sir?
wanasubiri mechi imalizike,Basi leo hakutakalika humu. You will never walk alone zitatumaliza leo dah !!!
Hata kama ni wakati wa nani maneno ya huyo muhuni hayafai [emoji16][emoji16][emoji16]ilikuwa nyakati za JK.
nyakati hizi hathubutu tena kuongea utumbo kama huo kwa sababu tumeshanunua ndege, train ya gesi, barabara za dhahabu n,k
natumia tecno toleo la M3
Halafu ni kama vile wote pia ni washabiki wa Simba. Na marangi rangi yao yale...dah !!!wanasubiri mechi imalizike,
pia usisahau wanasubiri yanga ifungwe [emoji14] [emoji14] 😛
Avatar ni wewe?Lakini nini??
kama wameambizana wajinga wale na ngoja watoke usingizini,Halafu ni kama vile wote pia ni washabiki wa Simba. Na marangi rangi yao yale...dah !!!
Wahindi wanapambana sana na kinachowaokoa ni teknolojia. Wamewekeza sana katika sayansi na tekinolojia. Leo hii ukifika Marekani mambo ya IT, Medicine na hata Uhandisi wametawala sasa.Maendeleo endelevu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kama wameambizana wajinga wale na ngoja watoke usingizini,
lakini dawa yao ni ndogo tu pindi watakapoanza fujo lao unajifanya kufuata nyayo za myoyambendi
poleni newcastle
poleni yanga japokuwa timu yako
poleni man utd
ameonekana dukani kwa shaffih dauda anachagua pensi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Leo jirani yetu sijui yuko wapi...