Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Fanya kama unamalizia...........kuna mmoja kwa kutumia ID hiyo hiyo stori ya kwanza alimtongoza mtoto wa kike kutoka familia ya mboga saba akakubaliwa.
wiki tatu baadae kwa kutumia ID hiyo hiyo alitongozwa na baharia tajiri.
kumbe alikuwa ni shemale
MMU wengi wa wachangiaji wake ni --------------------------------------------
Fanya kama unamalizia...........
Sijambo, habari ya weweHujambo bi Kantwe
Wala hata sikuwa na habari.
Me nilishtuka pale jina LA kiume afu kimwandiko kipo kike kike [emoji23][emoji23] watu wa MMU bana
OMG! [emoji125]♀️[emoji125]♀️[emoji125]♀️
Kijana mpole kumbe ni mwana Bongo flava mzuri.[emoji23][emoji23][emoji23]
HISTORY from Ansu Fati; at 16 years and 318 days, is the youngest player in the history of LaLiga to score and assist in the same game.
View attachment 1208291
akutukanaye hakuchagulii tusi.
Pep Guardiola: “Congratulations Liverpool, you are the Champions. We’re in September, what can you do?”
[emoji23][emoji23][emoji23] duuh nimechapia, jitolee basi kwa siku unampa noona msamiati mmoja.teh teh ahsante kwa ofa yako na pole kwa kwenda mchomo
An informal way of saying, “I'm hungry”:
배고파 = bae gopa
and not bogoshipda (보고 싶다 ) = i miss you
nathubutuje kutamka hadharani kummiss mtoto wa waziri mkuu mstaafu japokuwa natamani iwe hivyo japo kwa njia ya time travel kama domin joon shi on my love from another star?
happy sunday
ahadi yangu ya kuja kula pilau kwako ifikapo christmas bado ipo pale pale labda atokezee baharia achomoe betri yangu.
Mara chache
Shukrani sana. Wanoko wa lumumba wanakuja huko na vitisho vyao na matusi ya nguoni. Ukirudisha mapigo mbio kwa MODS kulalama BAK kanitukana. Na MODS bila kuchunguza nani alianza kutumia lugha chafu mie ndiye huishia lupango. Nakufollow nawe unifollow mlango utakuwa wazi. [emoji257][emoji257][emoji257]
Hao unaachana na hao, akikuqoute unajifanya kama hujaona.
Asante kwa kunifungulia mlango [emoji255][emoji259]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana Chief yaani raia anakufata DM kwa lengo la kukutukana tu