Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji120][emoji120]SUPERB! Good TASTE VE! [emoji1417]
Mambo mambo tu mengi mengi...
Unataka kujua kiarabu BAK?
Yes hata cha kuombea maji Fragaria πππ
mkuu nitawapendaje CCM haliyakuwa wamenisababishia nikose mke wa kiarabu pamoja na shamba la mikarafuu 100 kisiwani pemba endapo maalim seif angelitangazwa kuwa raisi wa zanzibar.Hahahahaha lol! Na weye na ccm kama BAK vile ππππππ
SYB njoo ona timu yako dah[emoji28]Dakika ya 32 Arsenal 2 Aubemang again.
π€£π€£π€£ Safi..Tuisheni $ 100 per hour..
Hadi mimi muhenga nilikaimba sana[emoji41]Haka ka wimbo enzi kanatoka kalivuma sana