moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
unakula mihogo mibichi kama sungura wakati nazi unayo, huyo mchumba wako ndiye amekutia ujinga wa kutafuta nguvu za kiume namna hiyo.
naomba umuache utafute anayejua kupika.
View attachment 1208409
Mkali wenu huyu hapa akiwa kwenye pozi la kufa mtu[emoji120][emoji120]View attachment 1208467
enzi hizo ukivaa fulana za wachezaji wa basket ball na plasta shavuni kama tahira ndio unaonekana mjanja wa mjini.Haka ka wimbo enzi kanatoka kalivuma sana
[emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ duh! Cha kuombea maji tu Fragaria?
It's never too old to be in loveIt differs from NTU NA NTU, but to many when it comes to LOVE age is just a number. But how old is too OLD to be in LOVE?
Eeeh ... 2 hours ushajua kuomba maji...
Key word being " Maji"
Duuuuh! umegawanya kwa 5... inaelekea ukinegotiate na wamachinga unachukua item kwa bei ya kununulia....πππππ$20 per hour, we have a deal and BONUS of $10 depending on the satisfaction πππ
wanaume wa korea tunapenda kuwa bachelor vegetables, hayo mambo ya kuoa mapema tumewaachia watu weusi, wahindi na waarabu koko.Natamani nimuulize Daemusin kama ameoa ila naogopa
Dakika ya 53 Watfors 1 Arsenal 2
Wow! Incredible