Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha lol! Usisahau kwamba customer is the BOSS. Sasa tuna deal au hatuna nianze kuandaa material ya kuchukulia notes za kuomba maji kiarabu? Naweza kuongeza kujua namna ya kuuliza kama nimepotea ninapotaka kwenda 😎😎😎

Duuuuh! umegawanya kwa 5... inaelekea ukinegotiate na wamachinga unachukua item kwa bei ya kununulia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…