Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee! Kaka heshima yako...
Hizi nywila wazioneage huruma jamani..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Asante Fraggy. Heshima hiyo ikurudie pia tena sabini mara sabini sikweadi. Sikunyang'anywa nywila safari hii bana japo kupambania heshima ya ukoo kulihusika [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

 
Kwema bro, na mimi niliadimika kidogo pia.

Kuna picha za Esta zitafanya press humu JF mda wowote....

#AiseeNimepambanaTayariBro
#MunguNiMwema
Aaa wapi? Esta ngangari hanaga hayo mambo. Unazungumzia ile link niliyoona humu kuhusu yule bishoo wa abroad aliyekuwa anatoa mikwara mbuzi? Hana kitu hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…