Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji818][emoji818]Dr, Chif Benjamin Nnamdi Azikiwe.
Azikiwe alikuwa rais wa Nigeria baada ya nchi hiyo kuwa jamuhuri mwaka 1963.
Ametawala chini ya Waziri Mkuu Tafawa Balewa kati ya octoba 1 1963 mpaka januari 16 1966, baada ya Meja Jenerali Johson Aguiyi-Ilonsi kunyakuwa madaraka ya nchi hiyo kimabavu
View attachment 1220878
[emoji818][emoji818]Meja Jenerali Johsnon Thomas Umunnakwe Aguyi-Ilonsi. Huyu alikuwa Mkuu wa Majeshi kwenye Serikali ya Balewa
Jenerali Ilonsi ndiye Mwanajeshi wa kwanza kufungua milango ya utawala wa mabavu nchini humo, baada mapinduzi ya umwagaji damu yaliyomaliza uhai wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Alhaji Abubakar Tafawa Balewa.
Aguyi-Olonsi ni mtawala pekee wa kijeshi aliyedumu madarakani kwa muda mfupi kuliko wenzake waliofutia
Januari 15 1966 - July 1966 View attachment 1220893
Kimeo huyu jana kazingua sanaGervinho-pepeView attachment 1220956