myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HahahahaUsiwe na shaka mpendwa. Kama kweli unataka katoto basi tunaweza kuongea na kuona la kufanya [emoji16][emoji16][emoji16]
(Bila shaka sasa waona kwa nini nilikataa mambo ya kuitwa bro..Mpendwa Hawachi[emoji23][emoji23][emoji23])
Uko sahihi kamandaHuyu ndiye anayefaa kwa wakati tulionao, inadaiwa na baadhi ya watanzania kwamba ubabe pekee ndiyo utakao lisogeza mbele taifa hili.
Acha apige kazi