Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Braza yuko vizuri. Utaweza kumtia kwenye ubrazazone braza kama huyu? [emoji16][emoji16][emoji16]Ngosha the don nani kaonaaaaa?View attachment 1223817
Mimi ni mmojawapo aisee. Habari ikinipendeza nagoogle naisoma nzima nzima.Gud umeisoma post wengine hawasomagi kabisaa ni kuchapa likes tu
πππ,Nondo za kufa mtu dah !!!
Ni ujumbe wa muhimu sana....[emoji120][emoji120][emoji120],
The Don hulalii[emoji102], huu ujumbe nimekuta mahali nikaona vyema kushare nanyi japo kwa uchache
Hahah, mie usingizi ulipaa,sina majukumu π π π ....Najipanga kurudi tenaNi ujumbe wa muhimu sana....
Wewe mbona hujalala? Huna majukumu kwani usiku huu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aisee sometimes hakuna kufurahia. Nilishawahi ona mtu aliyeng'olewa jino kinywa na shingo vikavimba mpaka akafariki...Hakuna anayefurahia uchungu wa kung`olewa jino, ila kila mtu anafurahia matokeo yake π
#UsikwepeSwaliHahah, mie usingizi ulipaa....Najipanga kurudi tena
Mnaongelea nini?SYB, Ninge, King
#AchaApateUhondo
#hataMimiHiziNiMbinuTuu
#subiriMtegoUfyatuke
Aisee,huyo kweli alipata maafa.Aisee sometimes hakuna kufurahia. Nilishawahi ona mtu aliyeng'olewa jino kinywa na shingo vikavimba mpaka akafariki...
Yaani wewe dah!Unanizeesha mpendwa.
Mmeshaelwana na SYB
#TunatakaNusuCast
#Sikwepiswali#UsikwepeSwali
#HunaMajukumuUsikuhuu?
#Kingwakoyukowapi?
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16]Nimempongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kuwatandika viboko wanafunzi, haiwezekani tunajenga shule halafu Watoto wanaenda kuchoma, nimemuambia fukuza wote kwahiyo Form 5 na 6 wote wamefukuzwa na Bodi imevunjwa, eti Haki za Binadamu!, Haki za Binadamu watoto wawe na viburi vya kipumbavu!?, hao wa Haki za Binadamu wakayejenge basi hayo mabweni" - Ameyasema Hayo Raisi Magufuli....
EeeeehπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈChochea moto baba chochea [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1223842
Kama hayupo basi chukua hiki kizawadi kikusaidie kutuliza akili na mwili ulale vyema. Akija mi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]#Sikwepiswali
#Kingahayupo
#AmeendaCinemaEtiNimngoje
Ndo unakimbilia kulala ama? Good night THEeeeeh[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
ππKama hayupo basi chukua hiki kizawadi kikusaidie kutuliza akili na mwili ulale vyema. Akija mi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1223843
Asante TH. Moto utakaowaka akirudi sipati picha. Hashtags zitakuwa zinawaka moto [emoji16][emoji16]ππ
[emoji39][emoji39]
[emoji2956][emoji2956]
Asante mno kwa zawadii, na asirudi tu nimetosheka na hii[emoji10]
Ishakuwa Usiku wa pipiπββοΈπββοΈNdo unakimbilia kulala ama? Good night TH