Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hehehehe aiseee inaonekana ujirani unalipa

Kuanzia kesho itakua bora kumpa bro kuliko kiozee hahahaa

#ukizubaatuwakishuayuleee
Heheh! Ujirani mali tunautafuta kwa gharama yeyote ile sio kucha tu ata sura kabisa....

Ata ikiwa kumpa bro ujirani sihami mana hicho kitakua kiporo tu

#Atamiminaonakawabahari
#NalindaCocobeachwatuwanatakakuogeleaKigamboni
 
Nyerere day.
Siku moja mwaka 1981, kulikuwa na sherehe furani jijini Dar es salaam, Meya wa jiji la Dar es salaam wakati huo Ramadhani Nyamka aliongoza maandamano ya wakazi wa jiji hilo kuelekea viwanja vya mnazi mmoja, maandamano hayo yalipokelewa na rais wa wakati huo Julius Nyerere.
Maandamano yaligubikwa na mabango yalijojaa vibwagizo vya kuwachamba mabeberu walioanza kuipa masharti magumu Tanzania ili ipate mikopo toka mashirika ya fedha ya kimataifa pamoja na nchi wahisani.
Mwalimu alitoa hutuba fupi iliyoacha ujumbe mzito kwa watanzania.
Alisema......
 
Woooyooo jiran to be welcome tunatest hahahaa

#heheheehaiseee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…