Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Davet hizo comment zako zimekalia kiuchochezi zaidi, kiukweli sikuwa na dhamira yoyote ya kuanzisha mabishano dhidi ya Bradha.
teh teh teh
nilichokusudia nimuingize kwenye mtego then wabishane na Numbisa baadae mjinga mimi niwe na kazi ya kuchochea kuni kila upande kama bilisi.

bahati mbaya mkakati ulifeli njiani.
 
Ni kweli kabisa Mkuu,watu wana radha tofauti
 
Hehehe! Nikajua unataka kumuingiza ndani ya 18 umbutue shuti kama la yule mtu mweupe dhidi ya United au lile la Modric
 
Nilimpigia pasi Numbisa halafu akanishughulikia mimi mwenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kimoyo moyoni nikasema hii ligi sio saizi yangu.

#asiyekubaliKushindwaSioMshindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…