Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aseee, huo siyo mji wa kuishi.
Hapo waishi wenyewe tu, maana imesemwa "Mtu kwao".
Wapita njia kama sisi hapo hapatufai
 
Hahahahaha SYB unawatisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ulikuwepo online nilipoweka picha yangu nashukuru niliifuta sekunde kabla wachomoa betri hawaja sreenshort [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila nilipambana sana mpaka nikaipata. Ngoja niishie hapa mpendwa. Na kwa vile umefunga PM basi haina neno mpendwa [emoji16][emoji16]
 
Busara nyingi imejaa kwenye maandishi mekundu, hao jamaa wanajua sana hapo ni swala la moyo wako tu unamuangukia nani....

Sema unajuaga sana kumjaza sumu yule binti kama SYB anavyojua kumjaza BAK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…