Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Salama bro, habar za kwako? Kwema huko?Bro habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe
#nawaonavijana
#mamboyenu ni hivi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
#mtaachanatu[emoji125][emoji125][emoji125]
Sema kweli[emoji45]Moja kati ya mitaa ya jiji la Dar hali ilikuwa hivyo asubuhi ya leoView attachment 1227859
Hahah aisee[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya hujioni ulivyolegea eeh?
huo weusi ndio ngozi yake au ni nguo amevaa?Moja kati ya mitaa ya jiji la Dar hali ilikuwa hivyo asubuhi ya leo
Na mimi naomba unitoe huko jamani ....Haha hashtag mbona fureshi tu
Mambo fresh, niaje?
Itakuwa ulimpendea manyoya[emoji125]
ππππππHehehe
#nawaonavijana
#mamboyenu ni hivi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
#mtaachanatu[emoji125][emoji125][emoji125]
Davet hizo comment zako zimekalia kiuchochezi zaidi, kiukweli sikuwa na dhamira yoyote ya kuanzisha mabishano dhidi ya Bradha.
teh teh teh
nilichokusudia nimuingize kwenye mtego then wabishane na Numbisa baadae mjinga mimi niwe na kazi ya kuchochea kuni kila upande kama bilisi.
bahati mbaya mkakati ulifeli njiani.
Ata sikunyimi kitu mimi, wewe je huko ulipo kwenye jina gumu unaninyima nini?[emoji847][emoji847] Mambo Safii kabisaa, Nini unachoninyima.?[emoji6]
Nilimpigia pasi Numbisa halafu akanishughulikia mimi mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kimoyo moyoni nikasema hii ligi sio saizi yangu.
#asiyekubaliKushindwaSioMshindani
πππ[emoji16][emoji16][emoji16]
#naombaniitiebaewauzi
#Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
#mtaachanatu
πππdole skuli ndani
mkahawa wa wajane
makunduchi
jambiani
nto mbe le ooooo
kilima cha makufuli
mto barafu
kilima nye geeeeee
kwa bikhole
unguja ukuu
magogoni
mkamandume
jamani karibuni zanzibar ndio mitaa yetu
Kwema sana kamanda vipi hali yako?