Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Jambo jema bro...... Tupo pamoja sanaNamshukuru Muumba bro[emoji120][emoji120]
Haha nikutoe huko nikupeleke wapi?Na mimi naomba unitoe huko jamani ....
Safi sana, naona ulipotea hapa kidogo 😀
Popote tu ata kwenye ujirani nitashukuruHaha nikutoe huko nikupeleke wapi?
Sijapotea bana, nilikuwa na bae geti la chini tunadiscuss maisha 😛😛
Salama bro, habar za kwako? Kwema huko?
Sema kweli[emoji45]
Ngoja niisake#bintimpoleasionehiyopost
😅😅Nitakuja kilima nye gee
Bro kwema huko?Fungua PM nikuhakikishie mpendwa. Kwa nini tuandikie wino na mate yapo?
Kauli nyingine bhana!
Unapenda sana ngumi.Nikajua Kuna wapendwa wamekunjana Sema huu uzi ninachoupendea ni amani na utulivu.