moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nmefunga ukurasa
Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah
Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi
Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo
Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU
Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI
Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira
#SautiInatoshaHukooooo
Anonymous Forever
Tukifungwa weekend hii narudi tena
Dah..Mimi itabidi nijisajili na Moudy tu hamna namna..
Hahah asante sana Fraggy... Upo wewe?mzima kabsa?Jumaa Kareem Ninge.. Kumbe Uko vizuri eeh?
Itapendeza sana,,, Simba vs YangaDah..Mimi itabidi nijisajili na Moudy tu hamna namna..
HahaCouple mpya hii.
Naskia wanataka kuvishana Pete kabisaa hawana masihara!!
ππππππππππSijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah