Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio ndio Moudy.
Huku duniani me matani yalishawai kuniponza nikakoma kabisa πŸ˜‚

#ilanyumayakeyboardsikomi

Natembelea nyota ya Anonymous Numbisa πŸ˜‚πŸ˜‚ Anonymous forever au sio!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaaa
 
Maharage ni chakula ambacho watu wengi hukichukulia kama chakula cha hadhi ya chini kisichokuwa na manufaa kiafya. Watu wengi huchukulia vyakula kama vile nyama na samaki kuwa ni vya kitajiri wakati maharage yakichukuliwa kuwa ni chakula cha kimaskini.
 
Cha kichwa cha mtoto kupita katika mlango mwembamba kama ule. Kama unataka maelezo ya Ki Charles Darwin sema nishushe nondo za kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeuliza kwa sababu comment uliyoniquote nilikuwa nazungumzia kitu kingine. Hicho kipengele cha muhimu sana aisee ngoja nianze kukifanyia kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni heri anayefunguka kisha mambo yakaisha, kuliko anayendeleza bifu kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Numbisa nimjuaye ni mtu asiye na undani.
Husema kweli kadri anavyojisikia
Nadhani hata ushauri wake ni kwa maslahi ya uzi wetu pendwa[emoji120][emoji120]
Na kwakuwa kila kitu kipo kwenye utani, tutaenda kwa mwendo huo huo.
 
Namuonea wivu bae wake. Wanawake wa aina hii ni nadra sana. Imagine hakuna gubu wala kununiwa. Ukimkorofisha unapewa za uso unaomba msamaha yanaisha unakula mzigo na maisha yanasonga. Siyo hawa mwezi mzima umenuniwa hata kosa hulijui. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…