Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dah!
Heheh! AiseeKing huwa hauangushi watu unachapa ukweli tu ndo maana wengine tunakwepa vitu hivi. Nyuzi za 7800 zinatisha
Capital!You can stop people from speaking, but you cannot ban them from thinking.
Jana mdau mmoja kwenye group letu la Whatsapp la form six aliweka orodha nzima. Nimehesabu wenzetu 15 wameshatangulia mbele ya haki. Nimesikitika sana. Kumbe hata mimi kubakia mpaka sasa ni mibaraka ya Mungu tu.Manenge na mandawa nawakumbuka wanafunzi wenzangu niliokuwa nao darasa la pili miaka hiyooo, ambao wameshatangulia mbele ya haki.
Mwenyezi Mungu awarehemu
financial services. Naomba mkopo wa masharti nafuu.Capital!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie pia ajuza ujue
Kalumbu [emoji120][emoji120][emoji120]Capital!
πππNani kakosa couple