moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AiseeWewe kizee single ulishapewa wako na waungwana.
Kuna mbaba mmoja hivi wa kisukuma toka Koromije[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mnanitafutia dhoruba kali ajabu. Acheni kumsumbua mpendwa Hawachi pulizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona sasa mpendwa Hawachi. Wambea sana uzi huu indeed wallahi. Eti wameanzisha ndoa za mikeka. Tena kwa lazima. Washindweeee [emoji351][emoji351][emoji351][emoji16][emoji16]Aisee
Namuonea wivu bae wake. Wanawake wa aina hii ni nadra sana. Imagine hakuna gubu wala kununiwa. Ukimkorofisha unapewa za uso unaomba msamaha yanaisha unakula mzigo na maisha yanasonga. Siyo hawa mwezi mzima umenuniwa hata kosa hulijui. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wahenga hatuna ulazima wa kuitana bae kwenye uzi wa like ipo sehemu maalum. Utani sio serious 😃😃😃😃Mnanitafutia dhoruba kali ajabu. Acheni kumsumbua mpendwa Hawachi pulizi
Ongea ukweli una nijua[emoji23][emoji23]
Why uyafukue makaburi ya Numbisa na sio Ninge😀😀😀😀😀😀😀😀Nilikuwa nafukua makaburi ya Numby
#2017
#kunavituvyakutisha
#jfilikuwagamotoeeh
🚶🚶🚶🚶
Naona PhD ya Electrical Engineering inamgaragaza sana Poti. Carba wake kaja halafu haonekani. Something up na ni lazima atakuwa bize sana [emoji16][emoji16]Yegomasika hebu kamu thisi weii
Kwa hiyo wewe na nani niandae kijora😀😀😀Unaona sasa mpendwa Hawachi. Wambea sana uzi huu indeed wallahi. Eti wameanzisha ndoa za mikeka. Tena kwa lazima. Washindweeee [emoji351][emoji351][emoji351][emoji16][emoji16]
Mvua inachombeza...Ndo zipi hizo jiran?