carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Tukirudigi kwenye hiyo mishe watu wanaokuja wengi ni watoto wa maeneo yetu yale kule wanatembea kwa miguu minne kwahiyo sio wafuaji sana wa viatu hivyo malalamiko ya kuchuja hayapo.....Fabric kwa vumbi la kufuta na kutakatisha si uchafu wa kufua.
Endepo nikiamua kufua, Davet hiyo rangi haichuji??
Hahah! Eti upate Soulmate
Asante ngoja nikiwa na mood nzuri nitakupa Zawadi tu
Thanks Q 😘😘So cool, Hongera Dave[emoji8][emoji8]
😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
#hiyomoodnzuriijeharaka
#napendasanazawadi[emoji125][emoji125][emoji125]
nasema hivi kudadadeki sicheki mxiuuuUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
jamaa kaisha mchoka mkewe wameachana hujaskia?
Sorry kwa hiyo mkuu una siku ngapi hujaoga na Mvua hizi bila kusahau kusafisha kinywa, kuishi na Mwanaume mchafu yataka moyo vile vile Mwanamke mchafu pia.
ngapi ngapi? HukoUjiji KigomaView attachment 1232044
Heeeee!!
Bado hujajibu swali lini CR7 alistaafu soka la kimataifa kisa kipigo cha aibu akiwa na beji ya ukapten portugali?Hataaaaa, mm nakuzoom tuu.
Hujajibu hoja ya wastani wa magoli 2 kwa kila mechi vs 1.7.Ukimya wako unaniaminisha kuwa umekubali kushindwa.