Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo maana mpaka hivi nawashangaa wanapigania kurudishwa Azimio la Arusha.
Siwaelewi
Tunadanganyana tu. Azimio la Arusha ni Nyerere pekee aliyekuwa analiamini na kulitekeleza kivitendo. Wengine wote walikuwa wanamlia timing tu na kumwogopa. Alidhani denti wake Ben alikuwa mfuasi wa kweli mpaka akampa na urais jamaa kageuka mpigaji tu hakuna cha uadilifu wala nini.
 
Sioni kama kosa lina sababishwa na wanaharakati,
Upumbuvu upo ndani ya serikali.
Labda eleza ujinga wa uhalakati unaouzungumzia.
Ukienda popote mitandaon ukauliza nani mwanaharakati maarufu TZ utajibiwa mange eee bana mange huyu huyu aliyechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa JPM aiseee njoo kwa fatma zao kuu la CCM nje mwanaharakati ndani anawapiga vilivyo bila kufahamu

Kuja kwa mbowe na kundi lake huwezi tofautisha ni mwanasiasa au mwanaharakati.

Unapolalamika watanzania wajinga,walipoamua kua werevu na kuwaamin mkawadondosha na kuishia kuwazungusha mikono eti mabadiliko

JK aliwapa uhuru mkamsakama weee mkamuita majina yoooteee mtakayo,hawa watanzania wajinga wakawa upande wenu

Waliwaunga mkono mlipoongelea mafisadi mara paaap hao hao mafisadi mkawasafisha

Hatujakaa poa lissu huyo anaibuka kumkosoa nyerere tena kwa maneno makali mno na kashfa juu. Werevu mkachekelea na kumpachika cheo cha ubaba wa taifa

I doubt suala la lissu ni ishu binafsi inayofichwa kwenye mgongo wa siasa

kama huu ni upumbavu bora niungane na watanzania wenzangu wala ubuyu hodari.
 
Upumbavu wa mpumbavu mwenye upumbavu halisi unaweza kuzidiwa na upumbavu wa mpumbavu mwenye upumbavu?
Bro unaleta uswahili,
Bahati mbaya me sio mswahili.
Ninachojua kiongozi unapo fanya jambo lolote(-) kwa makusudi bila kujali athari kwa taifa lako ni zaidi ya upumbavu.
Na huu ndio upumbavu mwingi kwa sasa ninaouzungumzia.
 
Kutekeleza Azimio la Arusha kwa vitendo yakupasa ujitoe ufahamu.
Kumbuka hata wale ambao zama zile tuliwaona ni wajamaa wa kweli kama Kingunge Ngombale Mwiru, mwisho akaja kumiliki kampuni kubwa iliyoendesha harakati za kudhulumu haki za jiji la Dar, kupitia Stendi ya Unungo na Kampuni yake ya maegesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…