Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
ππBro unaleta uswahili,
Bahati mbaya me sio mswahili.
Ninachojua kiongozi unapo fanya jambo kwa makusudi bila kujali athari kwa taifa lako ni zaidi ya upumbavu.
Na huu ndio upumbavu mwingi kwa sasa ninaouzungumzia.
πππππMjumbe hauwawiView attachment 1237107
Vijana kuoa hadi mletwe na upepo,Wazazi tuna kazi kubwa kuwafundisha umuhimu wa Ndoa.Mjumbe hauwawiView attachment 1237107
Upepo wa kisulisuli Jumapili hii hautawaacha salama nyie CHAWAWATA [emoji16][emoji16][emoji16]Mjumbe hauwawiView attachment 1237107
Wale wagumu wote kwenye huu uzi jumapili wajiandae.Upepo wa kisulisuli Jumapili hii hautawaacha salama nyie CHAWAWATA [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1237110
Hakuna mgumu hata mmoja kwenye uzi huu [emoji16][emoji16]Wale wagumu wote kwenye huu uzi jumapili wajiandae.
πππππππππTufungwe bro..
Hata mstimu nao unahesabika kwenye hugHugs 12 zote unakuwa unahug hata strangers ?
Mimi nipo πππHakuna mgumu hata mmoja kwenye uzi huu [emoji16][emoji16]
Tujipe muda. Ugumu wako upimwe na kuchekechwa kwanza. Ukitoka salama basi sawa [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nipo [emoji16][emoji16][emoji16]
Anachosema ni kweli, hatuwezi kuwa tishio kwa timu kama Liverpool kwa sasa.
Ole must GO