Depal shikamoo
Marhabaa jirani, unazungukia wapi sahii?
Heheee mbona sikuoni?Mitaa ya kwenu
Heheee mbona sikuoni?
Nani aanze...
Hayawe jiraniKUMBUKA!
Hakuna kitu kinaitwa hugs mbaya, hugs zote ni nzuri.
Aliyekuteka sio mtu mzuri akii tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Upepo wa kisulisuli ukupandishe wapi eti?Hapo kwenye kufanana, hapana aisee.King yuko juu mawinguni.
Mimi nasubiria upepo wa kisulisuli unipandishe, vinginevyo sitofika.
Kutaneni nyie hapo Arusha msaidiane kupambana na baridi. Msisubiri upepo wa kisulisuli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Marhabaa jirani, unazungukia wapi sahii?