carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema,naona mnalalamika baridi andaeitini bana. Enzi zetu tulikua hatuna nguo full magome na hatukulalamika
Tanzania bhana
Hali ya hewa inakushawishi nini ety?[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] usiwaze bro, japo hiki kihali cha hewa kinashawishi
Ongeza volume pliiziNaombea liver ashindeeeee
Waaah![emoji134][emoji134]Sawa tafadhali usiipigie punyere maana vijana mna mambo mengi
Sijambo kabsa, habar za siku sis?
Nmefurahi kukuona tena hapa[emoji120]