Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa wale wanaujua mtaa wa Samora jijini Dar es salaam.
Kabla ya tarehe 19 oktoba 1986, mtaa huo ulikuwa unajilikana jina la INDEPENDENCE Avenue.
Jiji la Dar es salaam chini ya meya Kitwana Kondo walibadirisha Jina la mtaa huo maarufu sana pengine kuliko mitaa yote Dar es salaam na kuitwa Samora Avenue.
Tukio hilo lilifanyika siku kama ya leo baada kupatiaka taarifa za kifo cha rais wa kwanza wa Msumbiji huru Samora Machel.
 
aliyemkera Depal anyooshe kidole juu kabla sijaenda kwa mganga.
haiwezekani leo awe anatoa likes tupu bila ya kuandika chochote.
au account yake imevamiwa na mkwepu jnr?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸšΆ


#baridiimekuwakalikipandehiki
#siwezikuchatiakwenyeblanket
Nakusalimia shabiki wa man u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…