Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
itakuwa wengine wanakula kama starehe pendwa.Unga bei rahisi sana na ukishauchukua ili upate ugali unahitaji moto na maji tu, hivyo watu wa bara wanakula sana ugali kila siku nahisi nikwasababu za kiuchimi labda.....
NB: Wapo wanaopenda kula tu ata kama wanacho kipato
Duhitakuwa wengine wanakula kama starehe pendwa.
wengine ni kwa sababu ya kiuchumi.
wengine wabahiliiii.
wengine wavivuuu.
wengine wazembeee hawajui kupika msosi mwengine.
wewe upo kundi gani hapo?
Sijawahi kuelewa Sembe ila natumia nikikutana na mazingira ambayo inabidi nitumie na hapo kwenye list yako hayapoitakuwa wengine wanakula kama starehe pendwa.
wengine ni kwa sababu ya kiuchumi.
wengine wabahiliiii.
wengine wavivuuu.
wengine wazembeee hawajui kupika msosi mwengine.
wewe upo kundi gani hapo?
umeguna kama kirikuuu alipoambiwa ili amfike mbuzi ronaldo itamlazimu akate ndevu zake chafu kama chembe za sumaku
Hahaah uchokozi huuumeguna kama kirikuuu alipoambiwa ili amfike mbuzi ronaldo itamlazimu akate ndevu zake chafu kama chembe za sumaku
Kuna file maalumu leo wala usitegemee kitu 😀King na picha
wenyewe wamelala na hata wakiamka siwaogopi.Hahaah uchokozi huu