ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Michakato
Nataka kujua kama comments hua zinafutwa humu?
Shemwji kwa sammyluv tena??dooh mtamuua kichwa jamani kwa stressNimekuelewa. Kwanza wewe ni shemeji yangu. Sammyluv ni dadangu ujue.
Pole sana mkuu,nakuombea kwa Mungu upone harakaPia sababu iliyo nifanye nisionekane kwa muda kadhaa sikuwa poa malaria kali kidogo ilinipitia, so nikazingua flan kama naaga but we are Together as one...
Huyo ni shemeji mzengeaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo shemeji. Unafurahia sana nikiachika eeeh! Ushindwe na ulegee shemeji!
Ngoja nikitulia nitatafuta maneno ya kuelezea. What I feel inside [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hebu elezea basi hata kwa vitendo[emoji6][emoji6]
Yaani weweewe[emoji23] [emoji23]thulujiiiii thi unaijuaaa?? myoya eth carba ni thulujiiii...[emoji23] [emoji23] [emoji23]