Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kiduku Lilo in action [emoji16][emoji16][emoji16][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Ngoja aje! [emoji16][emoji16]
Kiduku Lilo in action [emoji16][emoji16][emoji16][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Sitaki [emoji16][emoji16][emoji16]Na mie naomba link basi
Kwema aisee. Hao jamaa sijawahi kuwatumia; na wala nilikuwa siwajui.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]... Umeibuka? Vipi, kwema?
Kwema aisee. Hao jamaa sijawahi kuwatumia; na wala nilikuwa siwajui.
Kama rates zao ni nzuri kuliko za wengine wote basi nitawafuatilia. Mpokeaji ni lazima awe na Voda au inakuwaje?
Wakirudi hewani nitonye. Kwetu Gamboshi kule mambo tumezoea Western Union tu viposta vya uchochoroni huko. Hawa mpokeaji anapokea kama Mpesa au inakuwaje?Jamaa walikuwa wazuri sana, na ninavyofahamu mimi VODA ndio walikuwa washirika wao wakuu. Kwa hiyo nadhani mpokeaji ni lazima awe na account ya VODA. Naweza nisiwe sahihi hapa lakini.
Wakirudi hewani nifanye. Kwetu Gamboshi kule mambo tumezoea Western Union tu viposta vya uchochoroni huko. Hawa mpokeaji anapokea kama Mpesa au inakuwaje?
Niwatakie jumanne iliyo njema [emoji173]