Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Ukuti ukuti wa nazi,

Tanga serema iyaaa pilipili kidonge iyaaa

Au mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa na nini na nini na gari na gari,tumpeleke hospitali

Enzi hizo raha

King na queen wake bila kusahau ninge na bae wake hata hawaelew kitu hahahaa
Bana bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si ilikiwa hivi πŸ‘‡πŸ‘‡


Tumpeleke hospitali asije kusema kwa baba yake
Yesa yesa yesa yeeee
Yesa kidogoo
Yesa yesa yesa yeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…