Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Unaweza kuwadanganya watu furani kwa wakati furani, lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"
Uzuri/ubaya ni kwamba wala huna haja ya kuwadanganya watu wote (kwa wakati wote). Ndiyo maana hata propaganda zinakuwa zimelenga watu wachache tu kwa sababu hao ndio unaowahitaji ili kutimiza lengo lako (zuri au baya)...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…