moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kazi ipo...
Urais ni kazi ya kuchafuliwa japo haya ya kuzushiana mpaka vifo (na viongozi wakubwa wa upinzani kushadadia) yanakera na yanaonyesha jinsi gani ambavyo bado hatujakomaa. Trump anawapeleka puta mademokrati vibaya sana lakini leo hii akiumwa utasikia wote wanaungana kumtakia apone. Japo raia wana uhuru wa kusema lolote lakini hutaona kiongozi hata mmoja wa upinzani akisema lolote baya ( at least hadharani)....
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] 2020 Membe na Lissu via ACT Wazalendo...
Mshukuru Lallana aisee.What? [emoji16][emoji16]
Bro, usiombe yakukute aiseeππππ
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nijiandae mapema kushushiwa makombora na mzaramoSaiv amelala subiri aamke[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ni Kigogo akihutubia followers wake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1241337
Nani wakishua?πππKumbe hata nyi watoto wa kishua pia mlicheza michezo hiyo[emoji1][emoji1][emoji849][emoji849]
Msukuma wa Ulaya [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi umeme si umekatika? We huo mpira unaangalia wapiSpurs leo anaua
Na inakuwa inaongeza nguvu za kiume πππNamba 8, ingawa tunaambiwa kitalaam ikiwa kama ilivyo namba 11 ina virutubisho vyenye dawa ya kutibu na kinga ya baadhi ya maradhi
[emoji38][emoji38] ni mwanzo huu
Kwema kaka, huku salama kabsa,, habari za huko?
Hivi umeme si umekatika? We huo mpira unaangalia wapi
Uko juu