Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ndio umefikia huku sasa[emoji6][emoji23]Acha kukalia kipaji
Kichwa Kichafu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Duh!Ukumbusho kwa wanaopenda kusikiliziaView attachment 1241396
Aisee hiyo hashtag kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka mia. Kule ndio kwanza mko 2k replies.
#wazinziBana [emoji124]
Kwamba?! 😂[emoji23][emoji23][emoji23] Numby unanitafutia kesi aisee[emoji23]
Ilikuwa ni [emoji91][emoji91][emoji39]
#bettingiwekilaweekend[emoji23][emoji23]
Aaa wapi. Huyu Lallana hajamsaidia Yego lolote. Binti kasema hata ile sare inatosha na yuko tayari kuchukuliwa na eksi wake sema tu eksi kapotea. Sijui mapenzi yamemkaba ameshindwa kupumua huko aliko.
View attachment 1241389
Hahaah wakishua weeeFresh huku ushuani
Hahaah wakishua weee
Nakusalimia jirani
Kwahiyo unataka kutuaminisha we hujawai kuwa BOYA ata kwa wakati mmoja?Kutuma nauli kwa uliyekutana naye mtandaoni ni uboya tu...[emoji2089][emoji2089][emoji2089] View attachment 1241395
Poa wakishua za wewe?Mambo
Ndio Kakake. Nashukuru ubarikiwe pia.Unapenda sana mziki dadake.
Shukrani sana, nilipenda sana burudani hiyo miaka ya nyuma.
Post zako zinanikumbusha mengi sana.
Ubarikiwe[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Miaka mia. Kule ndio kwanza mko 2k replies.
#wazinziBana [emoji124]
Kwahiyo unataka kutuaminisha we hujawai kuwa BOYA ata kwa wakati mmoja?
# Idoubt
#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katika wanaume 100 lazima wawepo 98 waliokwisha kufanywa mambo