Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naona umebold kabisa ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema kina nani ni washamba?
ukisikia muandiko wa mwanaume virginity ndio huooo.ππ we nae mbona mwandiko wako hauna ndevu?
TRM naona imerudi tena kwa nguvu zote [emoji36][emoji36][emoji36]Naona umebold kabisa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bana bana hadi sufuria inakutisha
πππ sio mvulana?ukisikia muandiko wa mwanaume virginity ndio huooo.
ππ nitakushtuaSiku ukiwa peke yako nitafute nikupe kampani[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
huo muandiko umejaa nguvu za kiumeee zilizokosa sehemu ya kupunguziaaaπππ sio mvulana?
Kazimwage mtonihuo muandiko umejaa nguvu za kiumeee zilizokosa sehemu ya kupunguziaaa
Carba aone hii ππTRM naona imerudi tena kwa nguvu zote [emoji36][emoji36][emoji36]
Ila katika kitu kimenishinda ni urojo aiseh!unakosaje mchanganyiko kama huu kwa siku.
- kachori
- mbatata za kuchemsha
- bagia za kunde au dengu
- chipsi za muhogo
- katlesi za nyama, mbatata au za mayai
- mayai
- mishikaki
- salad
- juisi
- maji ya urojo
- chapati, boflo, andazi
ulishawahi kuwaona wazungu wakila sembe kila siku?
View attachment 1242000
Hahaha!!unataka nikoseshwe urithi na babu shimba?
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Wewe siyo memba wa TRM?Carba aone hii [emoji23][emoji23]